Umeme Lyrics Willy Paul
Umeme Lyrics: The spanish song is sung by Willy Paul and has music by Willy Paul While Willy Paul has written the Umeme lyrics.
Umeme Song Willy Paul Details
Vocal/Singer | Willy Paul |
---|---|
Music Comsposer | Willy Paul |
Lyricist | Willy Paul |
Umeme Lyrics Willy Paul
Chorus:
mtoto we ni thitima yaani umeme meme, nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme.
Verse:
Kila napo kam kam baby we ni tam tam, moyo wangu umefanya zam zam kama gari nanguruma vrum vrum na kwa mapenzi girl umenifanya bubu.
Ooh baby nononono… i really love you and you already know×3
Uuh my love I was born to be with you uuh…
Chorus:
Mtoto we ni thitima yaani umeme meme, nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme×2 papararapapa×3
Verse:
Ngozi yako iko soft soft, mtoto we ni soap soap. Matatu yangu iko pararapirera iko ready kuku beba. In this life, the little things that you do keep me going.. in this life your prayers mama keep me going..
Because of you, I’m nolonger bwana mkunaji sami ni bwana mpendaji mama swear staki ata Nandy, kanifunza ukunaji mama. Mmmh mmmh.
Chorus:
Mtoto we ni thitima yaani umeme meme, nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme×2 papararapapa×3
Verse:
Kila corner umeteka thitima nishazama kwa mapenzi ooh thitima, kila corner umenibeba, nishazama kwa mapenzi ooh thitima.
Ooooooooh !!
Chorus:
Mtoto we ni thitima yaani umeme meme, nyumbani kwangu we ndio thitima yaani umeme meme×2 papararapapa×3