Nateswa Lyrics RayVanny

Nateswa Lyrics: The song is sung by and has music by Rayvanny While Rayvanny has written the Nateswa lyrics.

Nateswa Song RayVanny Details

Vocal/Singer
Music Comsposer Rayvanny
Lyricist Rayvanny

Nateswa Lyrics RayVanny

Weka shida chini glas juu tujipongeze
Husijali wanafiki wambea chapa mziki
Wote tucheze
Hehe Vanny Boy (Chui)
Platnumz (S2kizzy baby)

Maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (Eti)
Iyo shingapi hii shingapi hauna hela nini (Eti)
Maswali mengi kwa waiter hauna hela nini (Eti)
Ile shingapi hii shingapi hauna hela nini

Nimeachwa sitaki tena maswali
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
Jimbo likowazi sema nitakubali

Ati unanitaka
Eti unanipenda (basi nitongoze)
Unanitaka
Eti unanipenda (basi nitongoze)
Unanitaka
Eti unanipenda (basi nitongoze)
Unanitaka
Eti unanipenda (basi nitongoze)
Eh bwana we

Hela ya kodi nainywea pombe
Baba mwenye nyumba akileta fyoko
Natia makonde
Na kama hayanogi mapenzi husikonde
Akiringa akwende chukua mwengine sio kinyonge

Yuko wapiii yuko wapi huyo
(Basi nitongoze)
Yuko wapii yuko wapi huyo
(Basi nitongoze)
Yuko wapii yuko wapi huyo
(Basi nitongoze)
Yuko wapiii yuko wapi huyo
(Basi nitongoze)

Nimeachwa sitaki tena maswali
Naenda beach kula upepo wa bahari
Naumwagilia moyo mziki kwa mbali
Jimbo liko wazi sema nitakubali

Ati unanitaka
Eti unanipenda (basi nitongoze)
Unanitaka
Eti unanipenda (basi nitongoze)
Unanitaka
Eti unanipenda (basi nitongoze)
Unanitaka
Eti unanipenda (basi nitongoze)
Eeh bwana we

S2kizzy baby (Zombie)
Onyesha boxer, Tuone boxer
Nyanyua shati ingia kati tuone boxer
Onyesha boxer, Tuone boxer
Nyanyua shati ingia kati tuone boxer

Back to top button