Champion remix Lyrics kontawa

Champion remix Lyrics: The song is sung by and has music by kontawa While kontawa has written the Champion remix lyrics.

Champion remix Song kontawa Details

Vocal/Singer
Music Comsposer kontawa
Lyricist kontawa

Champion remix Lyrics kontawa

Aaaah weee I’m the winner

I’m the champion

Aaaah weee I’m the winner

I’m the champion

Yeeeh!

Mi nimezaliwa Mtwara

Huku ndani ndani

Chitoholi na Rendele

Pengine hata bibi yangu

Na babu bado wanajua Rais Nyerere

Huku kwetu machawa wapo

Tena wakikung’ata wanakuwacha na vipele

Na sio machawa wa mjini

Hadi mtoto wa kike wanamuonea gere

Men sikumbuki kama Mungu nishamuomba utajiri

Ila akanipa kwa sababu nastahili

Busara kwangu ni jambo la siri

So usishangae wakinitangaza ubahili

Nimetoboa mbele ya mkubwa na Tale

Kipara na Asake wa Tandale

Hizi sio zama za kale

Muziki huko huru kama kambi ya kambale

Chinga piga muziki tumebaki wawili

Haikuwa riziki Wanangu Cheed na Kili

My sister Anjella wamemshika akili

Waambie Konde Gang ni Jeshi la

Mtu Mbili

Sema Champion

I’m the winner

I’m the champion

Champion Champion

Aaaah weeee

I’m the winner

I’m the champion

Tumeishi na watu wanao amini kwenye mpango wa mungu kuna mkono wa mtu

Tumeshi na watu wanao amini sikukuu ndio siku ya kuchinja kuku

Ooya wee

Tumeishi na watu ambao walitembea na umeme lakini bado nyumbani walikosa luku

Tukaishi na watu wanao amini bahati bahai zote alipangiwa bukuku

Apo mwanzoni waliamini atutopata mafanikio

Walio tugagilia wakauza mafagio

Eeh mtaani kwetu sio

Mtu aliye toboa sana alitoboa sikio

Chumba kimoja analala dada na kaka

Watu awatupi msosi ata ukichacha

Baba chambazi motto anajiuza mtaani

Mama mchawi nyumbani atabaki nani

Back to top button